Vipi Utaomba VipengeleΒΆ
Programu zote zinahitaji mrejosho kutoka kwa watumiaji na vipengele vya kuomba, kwa kukuza na kuimarisha mahitaji ya mtumiaji.
OpenDroneMap ni FOSS programu. Free and open source (FOSS) mradi wa kupendeza kutoka ndani na nje: kutoka nje, mafanikio zaidi hasa kama wanaweza kufanya kila kitu, na ni ngumu kujua ni yapi maombi ya msingi. Kutoka ndani ya mradi wanaweza kuhisi jambo zito: muda mkubwa, pesa na fursa nyingi.
Maombi ya vipengele yanaweza kuwasilishwa kama jambo katika maombi ya anuani Github (mfano, WebODM au ODM au sawa) au rahisi zaidi kama mada ya kujadiliwa ndani ya jukwaa la kijamii. Jaribu kuwanza kwa kutafuta asili kuangalia ikiwa itafanya kazi, au angalau imejadiliwa.
Muhimu zaidi, njia ni kusikia: kiwa mtu ndani ya mradi kasema: "Huu ni msaada mkubwa, tunahitaji PESA au MUDA au MTU KUSAIDIA CODE" (au uwezekano wa hizo tatu) kisha kuna majibu mawili yanayofanya kazi vizuri zaidi kujibu:
Sawa. Sijui yalikua maombi ya vipengele vikubwa! Natamani mtu atakuja na vitendea kazi muhimu. Miongoni mwa wanajamii, Nitafurahi kuwa mtumiaji wa mwanzo kujaribu!
au
Wacha tuone ikiwa tutaunganisha pamoja rasilimali kulimaliza hili! Hapa naweza kushiriki kwa hili: ...
Tunafurahi unahamu kuona vitu vipya vinaongezwa katika mradi. Baadhi ya vitu vipya vinahitaji msaada, na baadhi ni rahisi kuvitengeneza. Tutafanya tuwezalo kukusaidia wewe kufahamu wapi maombi yako hayakufanikiwa, na tunathamini msaada wowote utakaoweza kutupa.
Learn to edit and help improve this page!