Msaada wa Multispectral

Tangu toleo 0.9.9 ODM lina msaada wa msingi kwa uchambuaji radiometric, ambayo inaweza kutengeneza tashira picha kutoka multispectral camera. Multispectral camera inapiga picha nyingi za sehemu kutumia band sensor tofauti.

Hardware

Wakati tumedhamiria kusaidia camera nyingi iwezekanavyo, msaada wa multispectral umekuzwa kwa kutumia camera zifuatazo, kwa hiyo zitafanya kazi vizuri:

Kamera nyengine zinaweza kufanya kazi. Unaweza kutusaidia kuengeza idadi hii ` kugawa dataseti <https://community.opendronemap.org/c/datasets/10>`_ zilopigwa na kamera nyengine.

Matumizi

Chakata picha zote kutoka band zote kwa pamoja (usitofautishe band katika mafolder tofauti) na ingiza --radiometric-calibration parameter kuruhusu radiometric normalization.Ikiwa picha ni sehemu ya mpangilio wa multi-camera, matokeo ya orthophoto yatakuwa na N band, kwa kila camera (+ alpha).

Learn to edit and help improve this page!