Kidokeza cha kurusha ndege nyukiΒΆ
The Humanitarian OpenStreetMap team ina muongozo juu ya kurusha UAV kwa ramani:
Muongozo umekusudiwa kwa drone project za visiwa, lakini ina matumizi kwa ujumla ya watengeza ramani kwa drone.
Angalia pia DroneDeploy's muongozo juu ya Kutengeza ramani yenye mafanikio, ambayo inaelezea mambo muhimu juu ya kuandaa mission.
Mwisho, mvurugio lenzi ni changamoto katika project kuchukua data za 3B sahihi. Angalia kipande chetu katika kitabu hiki cha Camera Calibration.
Learn to edit and help improve this page!